John 2:1-2

Arusi Huko Kana

1 aSiku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale. 2Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia.
Copyright information for SwhNEN